Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano mwaka 2018 wataanza muhula wa kwanza tarehe 16 Julai, 2018. Wanafunzi wote wanapaswa kuripoti katika Shule aliyopangiwa kwa muda uliopangwa. Endapo mwanafunzi atachelewa kuripoti kwa zaidi ya siku 14 kuanzia tarehe ya mwisho ya kuripoti, nafasi yake itachukuliwa na mwanafunzi mwingine aliyekosa nafasi.
Aidha, wanafunzi waliopangwa kwenye Vyuo vya Elimu ya Kati inabidi
kufanya UTHIBITISHO kuanzia tarehe
17 Juni, 2018 hadi ifikapo tarehe 8 Agosti, 2018 wa kukubali kujiunga na Kozi na Vyuo walivyopangiwa kwa njia ya mtandao. Uthibitisho huo utafanyika
kupitia tovuti ya Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) ya www.nacte.go.tz katika kiunganishi kinachoitwa Uthibitisho OR-TAMISEMI 2018. Mwanafunzi
atakayeshindwa kuthibitisha kozi na chuo alichopangiwa, nafasi yake
itachukuliwa na wanafunzi wengine.
Mwanafunzi atakayetaka kufanya mabadiliko ya kozi na chuo alichopangiwa
ataruhusiwa kufanya hivyo kuanzia tarehe 9 Agosti, 2018 hadi 23 Agosti, 2018
kupitia tovuti ya NACTE ya www.nacte.go.tz.
👉BONYEZA HAPA KUONA ORODHA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO NA VYUO 2018
👉BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD JOIN INSTRUCTIONS ZA SHULE MBALIMBALI
👉BONYEZA HAPA KUPATA JOIN INSTRUCTION YA SHULE YA SEKONDARI MKUU 2018<<>>CLICK HERE TO DOWNLOAD MKUU SECONDARY SCHOOL JOIN INSTRUCTION 2018<<
>>TAARIFA KWA UMMA - UCHAGUZI WA WANAFUNZI KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO, VYUO VYA UFUNDI NA VYUO VYA ELIMU YA KATI KWA MWAKA 2018
👀Angalia Orodha ya Wanafunzi Wote Waliochaguliwa Tanzania bara===
No comments:
Post a Comment