ππBONYEZA HAPA - MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2018 (link 1)
ππCLICK HERE - ACSEE 2018 RESULTS (link 2)
ππDOWNLOAD MATOKEO YENYE MAJINA YA MKUU SEKONDARIπππ
Friday, July 13, 2018
Monday, June 18, 2018
SELECTION NA FOMU ZA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO MWAKA 2018
Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano mwaka 2018 wataanza muhula wa kwanza tarehe 16 Julai, 2018. Wanafunzi wote wanapaswa kuripoti katika Shule aliyopangiwa kwa muda uliopangwa. Endapo mwanafunzi atachelewa kuripoti kwa zaidi ya siku 14 kuanzia tarehe ya mwisho ya kuripoti, nafasi yake itachukuliwa na mwanafunzi mwingine aliyekosa nafasi.
Aidha, wanafunzi waliopangwa kwenye Vyuo vya Elimu ya Kati inabidi kufanya UTHIBITISHO kuanzia tarehe 17 Juni, 2018 hadi ifikapo tarehe 8 Agosti, 2018 wa kukubali kujiunga na Kozi na Vyuo walivyopangiwa kwa njia ya mtandao. Uthibitisho huo utafanyika kupitia tovuti ya Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) ya www.nacte.go.tz katika kiunganishi kinachoitwa Uthibitisho OR-TAMISEMI 2018. Mwanafunzi atakayeshindwa kuthibitisha kozi na chuo alichopangiwa, nafasi yake itachukuliwa na wanafunzi wengine.
Mwanafunzi atakayetaka kufanya mabadiliko ya kozi na chuo alichopangiwa ataruhusiwa kufanya hivyo kuanzia tarehe 9 Agosti, 2018 hadi 23 Agosti, 2018 kupitia tovuti ya NACTE ya www.nacte.go.tz.
πBONYEZA HAPA KUONA ORODHA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO NA VYUO 2018
πBONYEZA HAPA KUDOWNLOAD JOIN INSTRUCTIONS ZA SHULE MBALIMBALI
πBONYEZA HAPA KUPATA JOIN INSTRUCTION YA SHULE YA SEKONDARI MKUU 2018<<>>CLICK HERE TO DOWNLOAD MKUU SECONDARY SCHOOL JOIN INSTRUCTION 2018<<
>>TAARIFA KWA UMMA - UCHAGUZI WA WANAFUNZI KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO, VYUO VYA UFUNDI NA VYUO VYA ELIMU YA KATI KWA MWAKA 2018
πAngalia Orodha ya Wanafunzi Wote Waliochaguliwa Tanzania bara===

Friday, February 9, 2018
MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2017 (CSEE 2017 RESULTS)
Baraza
la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Nne (CSEE)
na Maarifa (QT) Uliofanyika Novemba 2017 leo tarehe Januari 30, 2018. ambapo kiwango cha ufaulu wa jumla umeongezeka
kwa asilimia 7 ukilinganisha na mwaka 2016.
Akitangaza
matokeo hayo mbele ya waandishi wa habari, Katibu Mtendaji wa Baraza hilo, Dk Charles Msonde ameeleza kuwa ufaulu
umeongezeka kwa asilimia 7.22 huku watahiniwa 265 wakifutiwa matokeo kwa
udanganyifu wakiwemo wanafunzi 136 waliofanya mtihani wa kujitegemea (Private
Candidate) na 129 waliofanya mtihani wa shule (School Candidate).
“Jumla
ya Watahiniwa 287,713 ambao sawa na asilimia 77.09% kwa shule za kawaida na vituo vya kujitegemea
wamefaulu ambao katika ya hao wasichana wapo 143,728 sawa na asilimia 75.21%
wakati wavulana wapo 143,985 sawa na asilimia 79.06%".
Shule kumi (10) Bora kitaifa
ni kama ifuatavyo:
1. St
Francis Girls - Mbeya
2. Feza Boys - Dar Es Salaam
3. Kemebos - Kagera
4. Bethel Sabs Girls - Iringa
5. Anwarite Girls - Kilimanjaro
6. Marian Girls - Pwani
7. Canossa - Dar Es Salaam
8. Feza Girls - Dar Es Salaam
9. Marian Boys - Pwani
10. Shamsiye Boys - Dar Es Salaam
3. Kemebos - Kagera
4. Bethel Sabs Girls - Iringa
5. Anwarite Girls - Kilimanjaro
6. Marian Girls - Pwani
7. Canossa - Dar Es Salaam
8. Feza Girls - Dar Es Salaam
9. Marian Boys - Pwani
10. Shamsiye Boys - Dar Es Salaam
Shule kumi (10) za mwisho kitaifa:
1. Kusini
– Kusini Unguja
2.
Pwani Mchangani – Kaskazini Unguja
3.
Mwenge S.M.Z – Mjini Magharibi
4.
Langoni - Mjini Magharibi
5.
Furaha – Dar Es Salaam
6.
Mbesa – Ruvuma
7.
Kabugaro – Kagera
8.
Chokocho – Kusini Pemba
9.
Nyeburu – Dar Es Salaam
10. Mtule – Kusini Unguja
Monday, January 8, 2018
MATOKEO KIDATO CHA PILI NA DARASA LA NNE 2017 YATANGAZWA
Baraza
la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya mitihani ya upimaji wa
darasa nne na kidato cha pili iliyofanyika Novemba 2017 mwaka jana, huku
idadi kubwa ya wanafunzi wakifanya vyema katika mitihani hiyo.
Akitangaza matokeo hayo leo Jumatatu Januari 8, Katibu Mtendaji wa Necta, Dk Charles Msonde amesema jumla ya wanafunzi 1,086,156 waliofanya mtihani wa darasa la nne wamefaulu kati ya 1,158,444 waliofanya upimaji huo.
Amesema wanafunzi hao wamefaulu kwa kupata alama zenye madaraja ya A,B,C na D wakati wanafunzi 72,288 sawa na asilimilia 6.24 wamepata alama za daraja E, ambao ni ufaulu usioridhisha.
Kuhusu matokea ya upimaji wa kidato cha pili, Dk Msonde amesema jumla ya wanafunzi 433,453 sawa na asilimia 82.32 kati ya 486,742 waliosajiliwa kufanya mtihani huo wamepata ujuzi wa maarifa ya kuwawezesha kuendelea na kidato cha tatu.
Dk Msonde alisema wanafunzi wa kidato cha pili 51,807 sawa na asilimia 10.68 wameshindwa kupata alama za kuwawezesha kuendelea na kidato cha tatu.

Subscribe to:
Posts (Atom)