Tuesday, July 8, 2014

USAJILI WA WANAFUNZI WA KUJITEGEMEA KIDATO CHA SITA (ACSEE 2015) UMEANZA



Baraza la Mitihani la Tanzania linapenda kuwatangazia watu wote wanaotaka kufanya Mtihani wa Kidato cha Sita (ACSEE) mwezi, Mei 2015 kama Watahiniwa wa Kujitegemea kwamba kipindi cha usajili kilianza rasmi tarehe 1 Julai, 2014 hadi tarehe 30 Septemba, 2014 kwa ada ya Shilingi 50,000/=.   Aidha kuanzia tarehe 1 Oktoba, 2014 hadi tarehe 31 Oktoba, 2014 waombaji watajisajili kwa ada ya Shilingi 65,000/- (ada pamoja na faini).
   

Kwa taarifa zaidi bonyeza hapa USAJILI PC - ACSEE_2015

No comments:

Post a Comment