Matokeo ya kidato cha sita Mkuu Secondary School, center number S0544 ni mazuri kulingana na idadi kubwa ya wanafunzi kufanya vizuri katika mitihani hiyo.
Wanafunzi waliosajiliwa kufanya mtihani ni 206, ikiwemo Wasichana 62 na wavulana 144. Wanafunzi waliofanya mtihani ni 202, wanafunzi hao wamegawanyika katika tahasusi za HGL, HGE, EGM, CBG, PCB na PCM.
Wanafunzi ambao hawakufanya mtihani huo kwa sababu mbalimbali ni wanne (4).
Kwa ujumla matokeo ni kama ifuatavyo:
DIV-I = 10, DIV-II = 44, DIV-III = 100, DIV-IV = 44, DIV-0 = 1.
Kwa matokeo hayo, Jumla ya wanafunzi waliofaulu ni 198 sawa na asilimia 98.01%.
Shule imeshika nafasi ya 23 katika shule 31 za mkoa wa Kilimanjaro zenye wanafunzi zaidi ya 30. Na vilevile imeshika nafasi ya 203 katika shule 268 zenye wanafunzi zaidi ya 30 nchini Tanzania.
Masomo matatu yaliofaulisha vizuri ni
1. Economics
2. History
3. English Language.
Wanafunzi 10 waliofanya vizuri zaidi (waliopata division I) ni:
1. HAGAI YONAH
2. DEOGRATIUS MLOWOLA
3. DAVID MORY
4. SANG'UNDI NKULUMU
5. STEPHANO DOMINICK
6. DIANA MLILO
7. FESTO EUGEN
8. SAIGURAN KORDUNI
9. JACKLINE MINJA
10. GILIAD MAKATA
Mwanafunzi aliefanya vibaya zaidi (Division 0) ni:
1. EMMANUEL MASSAWE
Kupata matokeo ya wanafunzi wengine wote yakiwa na majina Bonyeza HAPA